"Kudhibiti Simu"
"Simu"
"Haijulikani"
"Simu uliyokosa"
"Simu ya kazini ambayo hukujibu"
"Simu zisizojibiwa"
"%s simu ambazo hazijajibiwa"
"Ulikosa simu kutoka kwa %s"
"Mpigie"
"Ujumbe"
"Simu imezimwa."
"Spika za simu zimewezeshwa"
"Siwezi kuongea sasa. Kuna nini?"
"Nitakupigia baada ya dakika chache."
"Nitakupigia baadaye."
"Siwezi kuongea sasa. Nipigie baadaye"
"Majibu ya haraka"
"Hariri majibu ya haraka"
"Majibu ya haraka"
"Ujumbe uliotumwa kwa %s ."
"Imeshindwa kutuma SMS kwa %s."
"Akaunti za simu"
"Piga simu za dharura pekee."
"Programu hii haiwezi kupiga simu bila ruhusa ya Simu."
"Ili upige simu, weka nambari sahihi."
"Hangout ya video haiwezi kuongezwa kwa wakati huu."
"Nambari ya sauti inayokosekana"
"Hakuna nambari ya ujumbe wa sauti iliyohifadhiwa katika SIM kadi."
"Ongeza nambari"
"Unataka kufanya %s iwe programu chaguomsingi ya simu?"
"Fanya iwe Chaguo-Msingi"
"Ghairi"
"%s itaweza kupiga simu na kudhibiti kila kipengele cha simu. Unastahili kuweka programu unazoziamini tu kama programu chaguomsingi ya kupiga simu."
"Je, unaweka %s iwe programu chaguomsingi ya kuchuja simu?"
"%s haitaweza tena kuchuja simu."
"%s itaweza kuona maelezo kuhusu wapigaji simu ambao hawako kwenye anwani zako na kuzuia simu zao. Unapaswa kuweka programu unazoamini pekee kuwa programu chaguomsingi ya kuchuja simu."
"Weka iwe Chaguomsingi"
"Ghairi"
"Nambari zilizozuiwa"
"Hutapokea simu au SMS kutoka kwa nambari zilizozuiwa."
"Ongeza nambari"
"Ungependa kuacha kuzuia %1$s?"
"Acha kuzuia"
"Zuia simu na SMS kutoka kwa"
"Nambari ya simu"
"Zuia"
"Ni mmiliki wa kifaa pekee anayeweza kuangalia na kuthibiti nambari zilizozuiwa."
"Acha kuzuia"
"Kipengele cha kuzuia kimezimwa kwa muda"
"Ukishapiga au kutuma ujumbe kwa nambari ya dharura, kipengele cha kuzuia anwani huzimwa ili watoa huduma za dharura waweze kuwasiliana nawe."
"Kiwashe tena sasa"
"%1$s imezuiwa"
"%1$s imeacha kuzuiwa"
"Huwezi kuzuia nambari ya dharura."
"%1$s tayari imezuiwa."
"Kupiga simu kwa kutumia kipiga simu cha binafsi"
"Simu ya %1$s kutoka kwa %2$s"
"Simu ya video ya %1$s kutoka kwa %2$s"
"Ukijibu utakata simu yako ya %1$s"
"Ukijibu utakata simu zako za %1$s"
"Ukijibu utakata simu yako ya video ya %1$s"
"Ukijibu utakata simu yako inayoendelea"
"Ukijibu utakata simu zako zinazoendelea"
"Ukijibu utakata simu yako ya video inayoendelea"
"Jibu"
"Kataa"
"Haiwezi kupiga simu kwa sababu hakuna akaunti za kupiga simu zinazoweza kupiga aina hii ya simu."
"Haiwezekani kupiga kwa sababu ya simu yako ya %1$s inayoendelea."
"Haiwezekani kupiga kwa sababu ya simu zako za %1$s zinazoendelea."
"Haiwezekani kwa sababu kuna simu inayoendelea kwenye programu nyingine."
"Simu zinazoingia"
"Simu ambazo hukujibu"
"Kuzuia Simu"
"Ukipiga simu hii, simu yako kwenye %1$s itakatwa."
"Chagua jinsi utakavyopiga simu hii"
"Elekeza simu ukitumia %1$s"
"Piga simu ukitumia nambari yangu ya simu"
"%1$s imeshindwa kupiga simu. Jaribu kutumia programu nyingine inayoelekeza simu kwingine au uwasiliane na msanidi programu kwa usaidizi."
"Kuzuia Simu"
"Nambari ambazo haziko kwenye Anwani"
"Zuia nambari ambazo hazipo kwenye orodha ya Anwani zako"
"Faragha"
"Zuia wapigaji ambao wameficha nambari zao za simu"
"Simu ya kulipia"
"Zuia simu kutoka kwa nambari ya simu za kulipia"
"Zisizojulikani"
"Zuia simu kutoka kwa wapigaji wasiojulikana"
"Kuzuia Simu"
"Kipengele cha Kuzuia Simu kimezimwa"
"Simu ya dharura imepigwa"
"Kipengele cha Kuzuia Simu kimezimwa ili kuruhusu wapigaji simu za dharura kuwasiliana nawe."
"Menyu ya Msanidi programu wa Telecom"