"Kisakinishaji cha kifurushi"
"Sakinisha"
"Sasisha"
"Nimemaliza"
"Ghairi"
"Inasakinisha…"
"Inasakinisha %1$s…"
"Imesakinisha programu."
"Ungependa kusakinisha programu hii?"
"Ungependa kusasisha programu hii?"
"Imeshindwa kusakinisha programu."
"Kifurushi kimezuiwa kisisakinishwe."
"Programu haikusakinishwa kwa sababu kifurushi kinakinzana na kifurushi kingine kilichopo."
"Programu haikusakinishwa kwa sababu haioani na kompyuta yako kibao."
"Programu hii haioani na runinga yako."
"Programu haikusakinishwa kwa sababu haioani na simu yako."
"Programu haikusakinishwa kwa sababu inaonekana kuwa kifurushi si sahihi."
"Imeshindwa kusakinisha %1$s kwenye kompyuta yako kibao."
"Imeshindwa kusakinisha %1$s kwenye TV yako."
"Imeshindwa kusakinisha %1$s kwenye simu yako."
"Fungua"
"Msimamizi wako haruhusu usakinishaji wa programu zinazopatikana kutoka vyanzo visivyojulikana"
"Mtumiaji huyu hana idhini ya kusakinisha programu ambazo hazijulikani"
"Mtumiaji huyu haruhusiwi kusakinisha programu"
"Sawa"
"Dhibiti programu"
"Nafasi imejaa"
"Imeshindwa kusakinisha %1$s. Futa baadhi ya maudhui ili upate nafasi kisha ujaribu tena."
"Programu haikupatikana"
"Programu haijapatikana katika orodha ya programu zilizosakinishwa."
"Hairuhusiwi"
"Mtumiaji wa sasa hana ruhusa ya kuondoa kipengee hiki."
"Hitilafu"
"Imeshindwa kuondoa programu."
"Ondoa programu"
"Ondoa sasisho"
"%1$s ni sehemu ya programu ifuatayo:"
"Ungependa kuondoa programu hii?"
"Je, ungependa kuondoa programu hii kwa watumiaji ""wote""? Programu na data yake zitaondolewa kutoka kwa watumiaji ""wote"" kwenye kifaa."
"Je, ungependa kuondoa programu hii kwa mtumiaji %1$s?"
"Ungependa kubadilisha programu hii na toleo la kiwandani? Data yote itaondolewa."
"Ungependa kubadilisha programu hii na toleo la kiwandani? Data yote itaondolewa. Hatua hii itaathiri watumiaji wote wa kifaa hiki, ikiwa ni pamoja na wale walio na wasifu za kazini."
"Dumisha %1$s ya data ya programu."
"Programu zinazoondolewa"
"Mara ambazo programu haikuondolewa"
"Inaondoa…"
"Inaondoa %1$s…"
"Imeondolewa."
"Imeondoa %1$s"
"Imeshindwa kuondoa."
"Imeshindwa kuondoa %1$s."
"Imeshindwa kuondoa programu inayotumika ya msimamizi wa kifaa"
"Imeshindwa kuondoa programu inayotumika ya msimamizi wa kifaa cha %1$s"
"Baadhi ya wasifu au watumiaji wanahitaji programu, kwa hivyo haijaondolewa kwa wengine"
"Programu hii inahitajika kwa wasifu wako na haiwezi kuondolewa."
"Programu hii inahitajika na msimamizi wako wa kifaa na haiwezi kuondolewa."
"Dhibiti programu za msimamizi wa kifaa"
"Dhibiti watumiaji"
"Imeshindwa kuondoa %1$s."
"Kumekuwa na tatizo la kuchanganua kifurushi."
"Android Wear"
"Huduma ya Android Wear haiwezi kutekeleza vitendo vya Kusakinisha au Kuondoa vipengee."
"Inatayarisha programu…"
"Haijulikani"
"Kwa sababu ya usalama wako, kompyuta yako kibao kwa sasa hairuhusiwi kusakinisha programu zisizojulikana kutoka chanzo hiki. Unaweza kubadilisha hili katika Mipangilio."
"Kwa sababu ya usalama wako, TV yako kwa sasa hairuhusiwi kusakinisha programu zisizojulikana kutoka chanzo hiki. Unaweza kubadilisha hili katika Mipangilio."
"Kwa sababu ya usalama wako, simu yako kwa sasa hairuhusiwi kusakinisha programu zisizojulikana kutoka chanzo hiki. Unaweza kubadilisha hili katika Mipangilio."
"Data yako ya binafsi na ya simu yako inaweza kuathiriwa na programu ambazo hazijulikani. Kwa kusakinisha programu hii, unakubali kuwajibikia uharibifu wowote kwenye simu yako au kupotea kwa data kutokana na matumizi yake."
"Data yako ya binafsi na ya kompyuta yako kibao inaweza kuathiriwa na programu ambazo hazijulikani. Kwa kusakinisha programu hii, unakubali kuwajibikia uharibifu wowote kwenye kompyuta yako kibao au kupotea kwa data kutokana na matumizi yake."
"Data yako ya binafsi na ya televisheni yako inaweza kuathiriwa na programu ambazo hazijulikani. Kwa kusakinisha programu hii, unakubali kuwajibikia uharibifu wowote kwenye televisheni yako au kupotea kwa data kutokana na matumizi yake."
"Endelea"
"Mipangilio"
"Inasakinisha/inaondoa programu za Android Wear"
"Arifa ya kusakinishwa kwa programu"
"Imesakinishwa"
"%1$s imesakinishwa"