"Mipangilio"
"Zaidi"
"Onyesho"
"Hali ya mwangaza"
"Ung\'aavu unaojirekebisha"
"Rekebisha mwangaza wa skrini kulingana na mazingira"
"Mwanga wa Usiku umewashwa"
"Hali ya usiku"
"Mtandao na intaneti"
"Mtandao wa simu"
- SIM %1$d
- SIM %1$d
"Inatumika / SIM"
"Haitumiki / SIM"
"Inatumika / Imepakua SIM"
"Haitumiki / Imepakua SIM"
"Ongeza zaidi"
"Data ya mtandao wa simu"
"Tumia data ya mtandao wa simu"
"Ungependa kuzima data ya mtandao wa simu?"
"Unahitaji kuchagua"
"Utatumia %1$s kwa data ya mtandao wa simu?"
"Unatumia %2$s kwa ajili ya data ya mtandao wa simu. Ukibadilisha uweke %1$s, %2$s haitatumika tena kwa ajili ya data ya mtandao wa simu."
"Tumia %1$s"
"Kutumia mitandao ya ng\'ambo"
"Unganisha huduma ya data wakati natumia mtandao wa ng\'ambo"
"Ungependa kuruhusu matumizi ya mitandao ya ng\'ambo?"
"Huenda ukatozwa ada za kutumia mitandao ya ng\'ambo."
"Matumizi ya data"
"Data ya msingi"
"Umetumia ^2 ^1"
"Onyo la matumizi ya data: ^1"
"Kikomo cha data: ^1"
"Onyo la matumizi ya data: ^1 / Kikomo cha data: ^2"
- Zimesalia siku %d
- Imesalia siku %d
"Hakuna muda uliosalia"
"Imesalia chini ya siku 1"
"Imesasishwa na ^1 ^2 zilizopita"
"Imesasishwa ^2 zilizopita"
"Imesasishwa na ^1 sasa hivi"
"Imesasishwa sasa hivi"
"Angalia mpango wa data"
"Programu zinavyotumia data"
"imedhibitiwa"
"Badilisha tarehe ya kipindi cha kutumia data"
"Tarehe ya kila mwezi:"
"Weka"
"Kikomo na onyo kuhusu matumizi ya data"
"Awamu ya programu zinavyotumia data"
"Weka onyo la matumizi ya data"
"Onyo kuhusu matumizi ya data"
"Weka kikomo cha data"
"Kikomo cha data"
"Kupunguza matumizi ya data"
"Stereo ya dashibodi ya gari lako itazima data ya mtandao wa simu pindi itakapofikia kikomo cha data ulichoweka.\n\nKwa kuwa stereo ya dashibodi ndiyo hupima matumizi ya data na huenda kampuni inayokupa huduma za mtandao ikahesabu matumizi hayo kwa njia tofauti, unashauriwa kuweka kikomo cha wastani."
"Weka onyo kwa matumizi ya data"
"Weka kikomo cha matumizi ya data"
"Weka"
"Mtandao wa OEM"
"%1$s zimetumika kuanzia %2$s - %3$s"
"Unganisha kwenye mtandao mwingine"
"Mapendeleo ya mtandao"
"Wi-Fi"
"Inawasha Wi-Fi…"
"Inazima Wi-Fi…"
"Inapakia orodha ya Wi‑Fi"
"Umezima Wi‑Fi"
"Imeshindwa kusahau mtandao"
"Imeshindwa kuunganisha kwenye mtandao"
"Ongeza mtandao"
"Unganisha"
"Inaunganisha…"
"Mtandao hauko karibu"
"Nenosiri"
"Onyesha nenosiri"
"Tafadhali weka jina la mtandao"
"Jina la mtandao"
"Weka SSID"
"Usalama"
"Nguvu za mawimbi"
"Hali"
"Kasi ya muunganisho"
"Masafa"
"Anwani ya IP"
"Onyesha nenosiri"
"Weka jina la mtandao"
"Weka nenosiri"
"access_point_tag_key"
- "Dhaifu"
- "Dhaifu"
- "Wastani"
- "Thabiti"
- "Thabiti zaidi"
"Mbps %1$d"
"GHz 2.4"
"GHz 5"
"Maelezo ya mtandao"
"Anwani ya MAC"
"Anwani ya IP"
"Subnet mask"
"DNS"
"Anwani za IPv6"
"Lango"
"Mapendeleo ya Wi‑Fi"
"Washa Wi‑Fi kiotomatiki"
"Wi-Fi itarejea kwenye mitandao bora zaidi ya karibu uliyohifadhi, k.m. mtandao wa nyumbani"
"Haipatikani kwa sababu umezima huduma za mahali.""Ziwashe""."
"Ungependa kuwasha kipengele cha kutafuta Wi-Fi?"
"Washa"
"Umewasha utafutaji wa Wi‑Fi"
"Tumia data ya mtandao wa simu kiotomatiki"
"Tumia data ya mtandao wa simu wakati Wi-Fi haina muunganisho wa intaneti. Huenda ukalipia data utakayotumia."
"Pata maelezo zaidi"
"Jina la mtandaopepe"
"Inawasha %1$s..."
"Vifaa vingine vinaweza kuunganisha kwenye%1$s"
"Nenosiri la mtandaopepe"
"Usalama"
"WPA2-Binafsi"
"Hamna"
"Bendi ya AP"
"Chagua Bendi ya AP"
"Otomatiki"
"Bendi ya GHz 2.4"
"Bendi ya GHz 5.0"
"Bendi ya GHz 5.0 (inapendelewa)"
"GHz 2.4"
"GHz 5.0"
"Chagua angalau bendi moja ya mtandaopepe wa Wi‑Fi:"
"Mtandaopepe na usambazaji wa mitandao"
"Mtandaopepe"
"Zima mtandaopepe kiotomatiki"
"Mtandaopepe wa Wi-Fi utazimwa ikiwa hakuna vifaa vilivyounganishwa"
"%s inataka kuwasha Wi-Fi"
"%s inataka kuzima Wi-Fi"
"Hitilafu"
"Kifaa kitatumia %1$s"
"Hakuna vifaa vilivyopatikana. Hakikisha kuwa umewasha vifaa na vinaweza kuunganishwa."
"Jaribu tena"
"Hitilafu fulani imetokea. Programu imeghairi ombi la kuchagua kifaa."
"Imeunganisha"
"Onyesha yote"
"Inatafuta"
"Bluetooth"
"Kifaa kisichokuwa na jina"
"Vifaa vilivyooanishwa"
"Oanisha kifaa kipya"
"Bluetooth itawaka ili ioanishe"
"Ungependa kuondoa kifaa?"
"Gari lako litatenganishwa na %1$s."
"Anwani ya Bluetooth ya gari: %1$s"
"Anwani ya Bluetooth ya Kifaa chako: %1$s"
"Jina la gari"
"Badilisha jina la gari hii"
"Badilisha jina la kifaa"
"Badilisha jina"
"Vifaa vinavyopatikana"
"Maelezo"
"Inawasha Bluetooth…"
"Inazima Bluetooth…"
"%1$s inataka kuwasha Bluetooth"
"%1$s inataka kuzima Bluetooth"
"Programu inataka kuwasha Bluetooth"
"Programu inataka kuzima Bluetooth"
"%1$s inataka kufanya redio ya gari lako ionekane kwenye vifaa vingine vya Bluetooth kwa sekunde %2$d."
"Programu fulani inataka kufanya redio ya gari lako ionekane kwenye vifaa vingine vya Bluetooth kwa sekunde %1$d."
"%1$s inataka kuwasha Bluetooth na kufanya redio ya gari lako ionekane kwenye vifaa vingine kwa sekunde %2$d."
"Programu inataka kuwasha Bluetooth na kufanya redio ya gari lako ionekane kwenye vifaa vingine kwa sekunde %1$d."
"Kionekane kama %1$s kwa vifaa vingine"
"Vifaa vyangu"
"Vilivyounganishwa awali"
"%1$s imeunganishwa"
"%1$s imetenganishwa"
"Ombi la kuoanisha Bluetooth"
"Oanisha kisha unganisha"
"Msimbo wa kuoanisha Bluetooth"
"PIN inajumlisha herufi au alama"
"Andika msimbo wa kuoanisha kisha ubonyeze \"Rejesha\" au \"Enter\""
"Je, ungependa kuoanisha na %1$s?"
"Ruhusu %1$s ifikie rekodi ya simu zilizopigwa na anwani zako"
"Unawezahitaji pia kuandika PIN hii kwenye kifaa kingine."
"Unaweza pia kuandika nenosiri hili kwenye kifaa kingine."
"Lazima iwe na tarakimu 16"
"Kwa kawaida 0000 au 1234"
"Ombi la kuoanisha"
"Gusa ili uoanishe na %1$s."
"Chagua kifaa cha Bluetooth"
"Lugha"
"Lugha na uingizaji wa data"
"Zinazopendekezwa"
"Lugha zote"
"Kibodi"
"Dhibiti kibodi"
"Matokeo ya kusoma maandishi kwa sauti"
"Mtambo unaopendelewa"
"Mtambo wa sasa"
"Kasi ya Kutamka"
"Uzito wa sauti"
"Badilisha"
"Mlio"
"Sauti ya mlio"
"Kiasi cha sauti"
"Mlio wa simu"
"Arifa"
"Maudhui"
"Badilisha sauti ya muziki na video"
"Kengele"
"Mlio wa simu"
"Sauti chaguomsingi ya arifa"
"Sauti chaguomsingi ya kengele"
"Hifadhi"
"Sauti za arifa"
"Mlio, arifa, kengele"
"Ung\'aavu"
"Rekebisha skrini iwe na mwangaza wa chini"
"Vizio"
"Kasi"
"Umbali"
"Utumiaji wa mafuta"
"Utumiaji wa nishati"
"Halijoto"
"Sauti"
"Shinikizo"
"%1$s - %2$s"
"%1$s/%2$s"
"%1$d%2$s"
"%1$d%2$s"
"Mita kwa kila Sekunde"
"Mizunguko kwa kila Dakika"
"Hezi"
"Vikundi-asilimia"
"Milimita"
"Mita"
"Kilomita"
"Maili"
"Selisiasi"
"Farenhaiti"
"Kelvini"
"Mililita"
"Lita"
"Galoni"
"Galoni ya Kiingereza"
"Nanosekunde"
"Sekunde"
"Mwaka"
"Kilopaskali"
"Wati Saa"
"Miliampea"
"Milivolti"
"Miliwati"
"Saa ya Ampea"
"Saa ya Kilowati"
"Ratili kwa kila inchi moja ya mraba"
"Maili kwa kila saa"
"Kilomita kwa kila saa"
"Baa"
"Digrii"
"Kilowati kwa kila Maili mia moja"
"Kilowati kwa kila Kilomita mia moja"
"Maili kwa kila Galoni (Marekani)"
"Maili kwa kila Galoni (Uingereza)"
"Kilomita kwa kila Lita"
"Lita kwa kila kilomita mia moja"
"Programu na arifa"
"Onyesha programu zote"
"Programu chaguomsingi"
"Ruhusa za programu"
"Dhibiti uwezo wa programu kufikia data yako"
"Maelezo ya programu"
"Lazimisha kuzima"
"Ungependa kuilazimisha izime?"
"Ukilazimisha programu izime, huenda isifanye kazi vizuri."
"Ungependa kuzima ulinzi wa utendaji?"
"Ukifanya hivyo, huenda maunzi na programu yako visifanye kazi pia."
"Usizime"
"Zima"
"Zima"
"Washa"
"Ondoa"
"Ukizima programu hii, huenda Android na programu zingine zikakosa kufanya kazi tena kama ilivyokusudiwa."
"Zima programu"
"Haijasakinishwa kwa wasifu huu"
"Ruhusa"
"Arifa"
"Nafasi ya hifadhi na akiba"
"Boresha utendaji"
"Toleo: %1$s"
"Hakuna ruhusa zilizotolewa"
"Hakuna ruhusa zilizoombwa"
"Programu zisizotumika"
- Programu %d zisizotumika
- Programu %d isiyotumika
"Ondoa ruhusa na upate nafasi"
"%s katika hifadhi ya mfumo"
"Funga programu uzuie matumizi zaidi ya nyenzo, panapohitajika"
"Matumizi ya data"
"Programu inavyotumia data"
"Inahesabu…"
- Ruhusa %d za ziada
- Ruhusa %d ya ziada
"Kumbuka: Baada ya kuwasha tena programu hii, hutaweza kuitumia hadi utakapofungua gari lako."
"Maagizo na kuweka data kwa kutamka"
"Programu ya usaidizi"
"Tumia maandishi kutoka kwenye skrini"
"Ruhusu programu ya usaidizi kufikia maudhui ya skrini katika muundo wa maandishi"
"Tumia picha ya skrini"
"Ruhusu programu ya usaidizi kufikia picha ya skrini"
"Kuweka data kwa kutamka"
"Huduma ya kujaza kiotomatiki"
"Hakuna"
"Umechagua"
"Programu ya Mratibu itaweza kusoma maelezo kuhusu programu unazotumia katika mfumo wako, ikiwa ni pamoja na maelezo yanayoonekana kwenye skrini yako au yanayoweza kufikiwa ndani ya programu."
"<b>Hakikisha kuwa unaamini programu hii</b> <br/> <br/> <xliff:g id=app_name example=Google Autofill>%1$s</xliff:g> hutumia kilicho kwenye skrini yako kubaini kinachoweza kujazwa kiotomatiki."
"Ongeza huduma"
"Kufungua viungo"
"Programu zilizosakinishwa"
"Usifungue viungo vinavyoweza kutumika"
"Fungua %s"
"Fungua %s na URL zingine"
"Fungua kwa chaguomsingi"
"Chaguomsingi nyingine"
"Hakuna chaguomisingi zilizowekwa."
"Umechagua kufungua programu hii kwa chaguomsingi kwa baadhi ya vitendo."
"Futa chaguomsingi"
"Fungua viungo vinavyoweza kutumika"
"Fungua katika programu hii"
"Uliza kila wakati"
"Usifungue katika programu hii"
"Viungo vinavyoweza kutumika"
"Programu"
"Ulizofungua hivi karibuni"
"Angalia programu zote %1$d"
"Kidhibiti cha ruhusa"
"Dhibiti uwezo wa programu kufikia data yako"
"Kwa programu ya Mratibu na zaidi"
"Kwa mfumo na mipangilio mingine"
"Ufikiaji wa programu maalum"
"Onyesha mfumo"
"Ficha mfumo"
"Ficha programu za mfumo"
"Badilisha mipangilio ya mfumo"
"Idhini hii huruhusu programu kubadilisha mipangilio ya mfumo"
"Kufikia arifa"
"Je, ungependa kuruhusu ufikiaji wa arifa za %1$s?"
"%1$s itaweza kusoma arifa zote, ikiwa ni pamoja na taarifa binafsi kama vile majina ya anwani na SMS ambazo unapokea. Itaweza pia kuondoa arifa au kusababisha shughuli za vitufe vya vitendo vilivyomo.\n\nHii pia itaipa programu uwezo wa kuwasha au kuzima kipengele cha Usinisumbue na kubadilisha mipangilio inayohusiana nacho."
"Ukizima ufikiaji wa arifa katika %1$s, huenda hali hii pia ikazima ufikiaji wa kipengee cha Usinisumbue."
"Zima"
"Ghairi"
"Kufikia huduma ya SMS zinazolipiwa"
"Gharama ya huduma ya SMS zinazolipiwa itajumuishwa kwenye bili yako ya mtoa huduma. Ikiwa utaipa programu fulani ruhusa, utaweza kutuma SMS zinazolipiwa ukitumia programu hiyo."
"Kufikia matumizi"
"Ufikiaji wa matumizi huruhusu programu kufuatilia programu zingine unazotumia na mara ngapi unazitumia, pamoja na mtoa huduma, mipangilio ya lugha na maelezo yako mengine."
"Kudhibiti Wi-Fi"
"Kidhibiti cha Wi-Fi huruhusu programu iwashe au izime Wi-Fi, itafute na iunganishe kwenye mitandao ya Wi-Fi, iongeze au iondoe mitandao au ianzishe mtandaopepe wa eneo mahususi."
"Zaidi"
"Mahali"
"Maombi ya Hivi Karibuni ya Kutambua Eneo"
"Hamna maombi ya hivi karibuni ya kutambua eneo"
"Ruhusa za kiwango cha programu"
"Huduma za Mahali"
"Tumia data ya mahali"
"Huenda huduma za mahali zikatumia vyanzo kama vile GPS, Wi‑Fi, mitandao ya simu na vitambuzi ili kubaini mahali kilipo kifaa chako."
"Mfumo"
"Masasisho ya mfumo"
"Mipangilio ya kina"
"Kuhusu, maelezo ya kisheria, kuweka upya na zaidi"
"Toleo la Android"
"Usasishaji wa rekebisho la usalama kwenye Android"
"Muundo na maunzi"
"Muundo: %1$s"
"Toleo la mitambo ya redio"
"Toleo la kiini"
"Nambari ya muundo"
"Anwani ya Bluetooth"
"Haipatikani"
"Hali"
"Hali"
"Hadhi ya betri, mtandao na maelezo mengine"
"Nambari ya simu, mawimbi, n.k."
"Kuhusu"
"Android %1$s"
"Angalia maelezo ya kisheria, hadhi, toleo la programu"
"Maelezo ya kisheria"
"Wachangiaji"
"Mwongozo"
"Lebo za udhibiti"
"Mwongozo wa usalama na udhibiti"
"Hakimiliki"
"Leseni"
"Sheria na Masharti"
"Leseni za mfumo za Mwonekano wa Wavuti"
"Mandhari"
"Watoa huduma za picha za setilaiti: \n©2014 CNES / Astrium, DigitalGlobe, Bluesky"
"Muundo"
"Nambari ya ufuatiliaji"
"Toleo la maunzi"
"Leseni za watu wengine"
"Kuna shida ya kupakia leseni."
"Inapakia…"
- Sasa umebakisha hatua %1$d kabla ya kuwa msanidi programu.
- Sasa umebakisha hatua %1$d kabla ya kuwa msanidi programu.
"Sasa wewe ni msanidi programu!"
"Usijali, tayari wewe ni msanidi programu."
"Chaguo za wasanidi programu"
"Chaguo za kubadilisha mipangilio"
"Kubadilisha mipangilio ya kifaa, programu au mtandao"
"Badilisha mipangilio ya mtandao"
"Hatua hii itabadilisha mipangilio yote ya mtandao, ikiwa ni pamoja na:"
"Wi‑Fi"
"Data ya mtandao wa simu"
"Bluetooth"
"Futa eSIM zote za gari"
"Hatua hii haitaghairi mpango wako wa huduma."
"Imeshindwa kuweka eSIM upya"
"Chagua mtandao"
"Badilisha mipangilio"
"Ungependa kubadilisha?"
"Ungependa kubadilisha mipangilio yote ya mtandao? Huwezi kutendua hatua hii!"
"Badilisha mipangilio"
"Imebadilisha mipangilio ya mtandao"
"Badilisha mapendeleo ya programu"
"Hatua hii itaweka upya mapendeleo yote ya:\n\n""Programu zilizozimwa"\n"Arifa za programu zilizomwa"\n"Programu chaguomsingi za vitendo"\n"Masharti ya matumizi ya data chinichini katika programu"\n"Masharti yoyote ya ruhusa"\n\n"Hutapoteza data yoyote ya programu."
"Weka programu upya"
"Mapendeleo ya programu yamewekwa upya"
"Futa data yote (rejesha mipangilio ya kiwandani)"
"Futa data na wasifu zote kwenye mfumo wa burudani na habari"
"Hatua hii itafuta data yote kwenye mfumo wa burudani na habari wa gari lako, ikiwa ni pamoja na:\n\n""Akaunti yako ya Google"\n"Data ya mfumo na programu na mipangilio"\n"Programu ulizopakua"
"Kwa sasa umeingia katika akaunti zifuatazo:"
"Wasifu nyingine zimewekwa kwa ajili ya gari hili."
"Futa data yote"
"Ungependa kufuta data yote?"
"Hatua hii itafuta data ya wasifu wako wa binafsi, akaunti na programu zote ulizopakua kwenye mfumo huu wa burudani na habari.\n\nHuwezi kutendua kitendo hiki."
"Futa kila kitu"
"Inafuta"
"Tafadhali subiri..."
"Tarehe na saa"
"Weka tarehe, saa, saa za eneo na mfumo"
"Weka saa kiotomatiki"
"Weka saa za eneo kiotomatiki"
"Mfumo wa saa 24"
"Tumia mpangilio wa saa 24"
"Saa"
"Weka saa"
"Saa za eneo"
"Chagua saa za eneo"
"Tarehe"
"Weka tarehe"
"Panga kialfabeti"
"Panga kulingana na saa za eneo"
"Tarehe"
"Saa"
"Msimamizi"
"Umeingia katika akaunti ya msimamizi"
"Ungependa kumpa ruhusa za msimamizi?"
"Mfanye awe Msimamizi"
"Msimamizi ataweza kufuta wasifu nyingine, ikiwa ni pamoja na zile za wasimamizi wengine na kurejesha mipangilio ambayo mfumo wa burudani na habari ulitoka nayo kiwandani."
"Hatua hii haiwezi kutenduliwa."
"Ndiyo, mfanye awe msimamizi"
"Unda wasifu mpya"
"Piga simu"
"Ujumbe kupitia data ya simu ya gari"
"Sakinisha programu mpya"
"Ondoa programu"
"Weka wasifu"
"Wasifu mpya"
"Utaweka wasifu mpya?"
"Baada ya kutengeneza wasifu mpya, mtu huyo anapaswa kuuwekea mapendeleo ili uwe jinsi apendavyo."
"Programu zinaweza kusasishwa kwenye wasifu wowote wa kutumiwa na wasifu nyingine zote."
"Umefikisha kikomo cha wasifu"
- Unaweza kuunda hadi wasifu %d.
- Unaweza kuunda wasifu mmoja pekee.
"Imeshindwa kutengeneza wasifu mpya"
"Ungependa kufuta wasifu huu?"
"Data na programu zote za wasifu huu zitafutwa"
"Imeshindwa kufuta wasifu."
"Wasifu huu utafutwa unapobadili wasifu au unapozima au kuwasha gari."
"Ondoa"
"Jaribu tena"
"Ungependa kufuta wasifu uliosalia?"
"Ukifuta wasifu uliosalia wa gari hili, data, mipangilio na programu zote zinazohusishwa na wasifu huu zitafutwa."
"Baada ya kuweka upya, unaweza kuweka wasifu mpya."
"Chagua msimamizi mwingine"
"Unahitaji angalau msimamizi mmoja. Chagua kwanza msimamizi mwingine ili ufute msimamizi huyu."
"Chagua msimamizi"
"Mgeni"
"Mgeni"
"Badilisha"
"Wewe (%1$s)"
"Jina"
"Haijawekwa mipangilio"
"Badilisha jina la wasifu"
"Ni lazima ujaze sehemu hii."
"Jina la wasifu uliloweka si sahihi."
"Watumiaji"
"Wasifu"
"Ruhusa zilizotolewa kwa %1$s"
"Hifadhi"
"Muziki na sauti"
"Programu zingine"
"Files"
"Mfumo"
"Mfumo unajumuisha faili zinazotumika katika toleo la Android la %s"
"Faili za sauti"
"Inahesabu…"
"Ukubwa wa programu"
"Data ya wasifu"
"Akiba"
"Jumla"
"Futa data ya hifadhi"
"Futa akiba"
"Ungependa kufuta data ya programu?"
"Data yote ya programu hii itafutwa kabisa. Hii inajumuisha faili, mipangilio, akaunti, hifadhidata zote na mengineyo."
"Imeshindwa kufuta hifadhi ya programu."
"%1$s imeondolewa kwa usalama"
"Imeshindwa kuondoa %1$s kwa usalama"
"Akaunti"
"Ongeza akaunti"
"Hakuna akaunti zilizoongezwa"
"Akaunti za %1$s"
"Sawazisha data kiotomatiki"
"Ruhusu programu zipakie data upya kiotomatiki"
"Utawasha usawazishaji wa data kiotomatiki?"
"Mabadiliko yoyote utakayofanya katika akaunti zako kwenye wavuti yatanakiliwa kiotomatiki kwenye kifaa chako.\n\nHuenda baadhi ya akaunti pia zikanakili kiotomatiki kwenye wavuti mabadiliko yoyote utakayofanya kwenye simu. Hivi ndivyo akaunti ya Google inavyofanya kazi."
"Utazima usawazishaji wa data kiotomatiki?"
"Kuzima kipengele hiki kutaokoa data lakini utahitaji kusawazisha kila akaunti wewe mwenyewe ili ukusanye taarifa ya hivi karibuni. Na hutaarifiwa wakati kuna taarifa mpya."
"Maelezo ya akaunti"
"Ongeza akaunti"
"Ongeza akaunti"
"Wasifu zilizodhibitiwa haziwezi kuongeza akaunti"
"Ondoa akaunti"
"Ungependa kuondoa akaunti?"
"Kuondoa akaunti hii kutasababisha kufutwa kwa ujumbe, anwani na data nyingine kwenye kifaa!"
"Imeshindwa kuondoa akaunti."
"Usawazishaji wa akaunti"
"Umewasha usawazishaji katika vipengee %1$d kati ya %2$d"
"Umewasha usawazishaji katika vipengee vyote"
"Umezima usawazishaji katika vipengee vyote"
"Usawazishaji UMEZIMWA"
"Hitilafu ya usawazishaji"
"Ilisawazishwa mwisho %1$s"
"Inasawazisha sasa…"
"Gusa ili usawazishe
%1$s sasa"
"Sawazisha sasa"
"Ghairi usawazishaji"
"Kwa sasa kipengele cha kusawazisha kina matatizo. Kitaanza kufanya kazi baada ya muda mfupi."
"Faragha"
"Data ya mfumo wa burudani na habari"
"Dhibiti ufikiaji wa programu kwa data yako ya mahali"
"Maikrofoni"
"Dhibiti ufikiaji wa programu kwa maikrofoni"
"Data ya mfumo wa burudani na habari"
"Dhibiti shughuli na maelezo yaliyohifadhiwa kwenye gari hili"
"Futa wasifu wako"
"Futa wasifu na akaunti zako kwenye mfumo wa burudani na habari"
"Kitendo hiki hakipatikani kwa wasifu wako"
"Usalama"
"Kufunga skrini"
"Hamna"
"Mchoro"
"PIN"
"Nenosiri"
"Chagua mbinu ya kufunga skrini"
"Chaguo za kufunga"
"Weka mchoro wako"
"Thibitisha"
"Chora tena"
"Endelea"
"Jaribu tena"
"Ruka"
"Weka mbinu ya kufunga skrini"
"Chagua PIN yako"
"Chagua nenosiri lako"
"Mbinu inayotumika kufunga skrini"
"Kwa sababu za usalama, weka mchoro"
"Futa"
"Ghairi"
"Mchoro wako mpya wa kufungua"
"Mchoro wa kufungua"
"Ondoa kidole ukimaliza"
"Mchoro wa kufungua umerekodiwa"
"Chora mchoro tena ili uthibitishe"
"Unganisha angalau vitone 4. Jaribu tena."
"Mchoro si sahihi"
"Jinsi ya kuchora mchoro wa kufungua"
"Hitilafu ya kuhifadhi mchoro"
"Majaribio mengi mno yasiyo sahihi. Jaribu tena baada ya sekunde %d."
"Sawa"
"Utaondoa mbinu ya kufunga skrini?"
"Hatua hii itamruhusu mtu yeyote afikie akaunti yako"
"Kufunga utumiaji wasifu"
"Weka mipangilio ya kufungua kiotomatiki"
"Weka PIN yako"
"Weka nenosiri lako"
"Kwa sababu za usalama, weka PIN"
"Weka PIN yako tena"
"Lazima PIN iwe na angalau tarakimu 4"
"PIN si sahihi, ni lazima iwe na angalau tarakimu 4."
"PIN hazilingani"
"Hitilafu ya kuhifadhi PIN"
"Nambari ya PIN si sahihi"
"Nenosiri si sahihi"
"Kwa sababu za usalama, weka nenosiri"
"Weka nenosiri lako tena"
"Manenosiri hayalingani"
"Futa"
"Ghairi"
"Thibitisha"
"Ni lazima liwe na angalau herufi 4"
"Ni lazima liwe na angalau herufi %d"
"Ni lazima PIN iwe na angalau tarakimu %d"
"Lazima nenosiri liwe na chini ya herufi %d"
"Ni lazima iwe na chini ya tarakimu %d"
"Ni lazima iwe na tarakimu kuanzia 0 hadi 9 pekee."
"Msimamizi wa kifaa haruhusu utumie PIN uliyotumia hivi majuzi"
"PIN zinazotumika zaidi zimezuiwa na msimamizi wako wa Tehama. Jaribu PIN tofauti."
"Hali hii haiwezi kujumuisha herufi isiyoruhusiwa."
"Nenosiri si sahihi. Ni lazima liwe na angalau herufi 4"
- Ni lazima liwe na angalau herufi %d
- Ni lazima liwe na angalau herufi 1
- Ni lazima liwe na angalau herufi %d ndogo
- Ni lazima liwe na angalau herufi 1 ndogo
- Ni lazima liwe na herufi %d kubwa
- Ni lazima liwe na angalau herufi 1 kubwa
- Ni lazima liwe na angalau tarakimu %d
- Ni lazima liwe na angalau tarakimu 1
- Ni lazima iwe na alama %d maalum
- Ni lazima liwe na angalau alama 1 maalum
- Ni lazima liwe na angalau herufi %d ambazo si herufi za alfabeti
- Ni lazima liwe na angalau herufi moja ambayo si ya alfabeti
"Msimamizi wa kifaa haruhusu kutumia nenosiri ulilotumia hivi majuzi"
"Hitilafu ya kuhifadhi nenosiri"
"Manenosiri yanayotumika sana yamezuiwa na msimamizi wako wa Tehama. Jaribu nenosiri tofauti."
"Haturuhusu mpangilio wa tarakimu wa kupanda, kushuka au kujirudia."
"Chaguo za kufunga skrini"
"%1$s\n%2$s : Siku %3$s zilizopita"
"Futa hifadhi ya hati"
"Ondoa vyeti vyote"
"Ungependa kuondoa maudhui yote?"
"Hifadhi ya hati imefutwa."
"Imeshindwa kufuta hifadhi ya hati."
"Sahau"
"Unganisha"
"Tenganisha"
"Futa"
"Ondoa"
"Ghairi"
"Ruhusu"
"Kataa"
"Kitufe cha Backspace"
"Kitufe cha Enter"
"Funga Onyesho"
"Funga hali ya onyesho"
"Hatua hii itafuta akaunti ya onyesho na kurejesha data ya mfumo ambayo kifaa kilitoka nayo kiwandani. Data yote ya wasifu itapotea."
"Funga Onyesho"
"ONDOA"
"Kipengele hakipatikani unapoendesha gari"
"Huwezi kuongeza wasifu unapoendesha gari"
"Tafuta"
"Mratibu na sauti"
"Programu ya mratibu dijitali"
"Tumia maandishi kutoka kwenye skrini"
"Ruhusu programu ya Mratibu ifikie maudhui ya skrini"
"Tumia picha ya skrini"
"Ruhusu programu ya Mratibu ifikie picha ya skrini"
"Zilizotumwa hivi majuzi"
"Programu zote"
"Wasifu na akaunti"
"Dhibiti wasifu nyingine"
"Weka wasifu"
"Futa wasifu huu"
"Weka wasifu"
"Huwezi kubadilisha mipangilio hii sasa hivi"