"Kufuatilia Mfumo"
"Rekodi shughuli za mfumo na uzikague baadaye ili uboreshe utendaji"
"Rekodi nyayo"
"Hurekodi historia ya shughuli za mfumo kwa kutumia mipangilio iliyowekwa kwenye \"Mipangilio ya historia ya shughuli\""
"Rekodi wasifu wa kiini cha kompyuta (CPU)"
"Sampuli za rafu ya utekelezaji zinaweza pia kuwashwa kwenye historia za shughuli kwa kuangalia aina ya \"kiini cha kompyuta (cpu)\""
"Rekodi picha ya hifadhi"
"Hunasa picha ya hifadhi ya michakato iliyochaguliwa katika \"Michakato ya kurekodi picha ya hifadhi\""
"Chagua angalau mchakato mmoja katika \"Michakato ya kurekodi picha ya hifadhi\" ili ukusanye picha za hifadhi"
"Kusanya historia ya shughuli kwenye Winscope"
"Inajumuisha data ya kina ya kiolesura inayorekodiwa na kutumwa kutoka mbali (inaweza kusababisha matatizo ya ubora)"
"Tafuta programu zinazoweza kutatuliwa"
"Aina"
"Rejesha aina chaguomsingi"
"Imerejesha aina chaguomsingi"
"Chaguomsingi"
"{count,plural, =1{Umechagua #}other{Umechagua #}}"
"Michakato ya picha ya hifadhi"
"Lazima uchague angalau mchakato mmoja"
"Futa michakato ya kurekodi picha ya hifadhi"
"Imefuta orodha ya mchakato"
"Kijipicha endelevu cha mgao wa hifadhi"
"Nasa picha ya hifadhi mara moja baina ya kipindi cha muda uliowekwa"
"Muda baina ya matukio ya kurekodi picha ya hifadhi"
"Sekunde 5"
"Sekunde 10"
"Sekunde 30"
"Dakika 1"
"Maombi"
"Haikupata programu zozote ambazo zinaweza kutatuliwa"
"Ukubwa wa akiba kwa kila CPU"
"Onyesha Kigae cha Mipangilio ya Haraka cha ufuatiliaji"
"Onyesha Kigae cha Mipangilio ya Haraka cha uchanganuzi wa kiini cha kompyuta (CPU)"
"Inahifadhi nyayo"
"Imehifadhi nyayo"
"Inahifadhi sampuli za rafu"
"Sampuli za rafu zimehifadhiwa"
"Inahifadhi picha ya hifadhi"
"Picha ya hifadhi imehifadhiwa"
"Gusa ili ushiriki rekodi yako"
"Acha kurekodi"
"Komesha uchanganuzi wa kiini cha kompyuta (CPU)"
"Baadhi ya aina za nyayo hazipatikani:"
"Tukio linarekodiwa"
"Gusa ili uache kurekodi"
"Sampuli za rafu zinarekodiwa"
"Gusa ili usimamishe sampuli za rafu"
"Picha ya hifadhi inarekodiwa"
"Gusa ili usimamishe mchakato wa kurekodi picha ya hifadhi"
"Futa faili zilizohifadhiwa"
"Rekodi hufutwa baada ya mwezi mmoja"
"Ungependa kufuta faili zilizohifadhiwa?"
"Rekodi zote zitafutwa kwenye /data/local/traces"
"Futa"
"Historia ya shughuli kwenye mfumo"
"systrace, fuatilia, utendaji"
"Ungependa kushiriki faili?"
"Faili za Kufuatilia Mfumo zinaweza kujumuisha data nyeti ya mfumo na programu (kama vile matumizi ya programu). Shiriki historia ya shughuli za mfumo na watu na programu unazoamini pekee."
"Shiriki"
"Usionyeshe tena"
"Historia ndefu ya shughuli"
"Imehifadhiwa mfululizo kwenye nafasi ya hifadhi ya kifaa"
"Inahifadhiwa mfululizo kwenye nafasi ya hifadhi ya kifaa (haitaambatishwa kiotomatiki kwenye ripoti za hitilafu)"
"Upeo wa kiasi cha historia ya shughuli"
"Upeo wa muda wa historia ndefu ya shughuli"
"MB 200"
"GB 1"
"GB 5"
"GB 10"
"GB 20"
"Dakika 10"
"Dakika 30"
"Saa 1"
"Saa 8"
"Saa 12"
"Saa 24"
"KB 4096"
"KB 8192"
"KB 16384"
"KB 32768"
"KB 65536"
"Acha kurekodi ripoti za hitilafu"
"Hukatisha rekodi zinazoendelea ripoti ya hitilafu inapoanzishwa"
"Ambatisha rekodi kwenye ripoti za hitilafu"
"Tuma kiotomatiki rekodi ya matukio yanayoendelea kwa BetterBug wakati ripoti ya hitilafu inakusanywa. Rekodi ya matukio itaendelea baadaye."
"Angalia faili zilizohifadhiwa"
"Mipangilio ya ufuatiliaji"
"Faili zilizohifadhiwa"
"Zinginezo"
"Mipangilio ya picha ya hifadhi"