"Kisakinishaji Cheti"
"Chagua cheti"
"Chopoa cheti"
"Inadondoa..."
"Chopoa kutoka kwa %s"
"Jina kwenye cheti"
"Jina la cheti:"
"Chapisha nenosiri ili kudondoa vyeti."
"Furushi lina:"
"Vyeti katika hifadhi-vitufe ya PKCS12."
"ufunguo wa mtumiaji mmoja"
"cheti cha mtumiaji mmoja"
"Cheti kimoja cha CA"
"Vyeti vya %d CA"
"Chapa nenosiri sahihi."
"Chapa nenosiri."
"Chapa jina."
"Chapisha jina ambalo lina herufi na nambari tu."
"Haikuweza kuhifadhi cheti. Gusa SAWA ili kujaribu tena."
"Haikuweza kuhifadhi cheti. Hifadhi ya hati haijawezeshwa au haijaanzilishwa vizuri."
"Cheti hakijasakinishwa."
"Hakuna cheti cha kusakinisha."
"Cheti ni batili."
"%s imesakinishwa."
"Haikuweza kusakinisha kwa sababu cheti ni kikubwa mno."
"Haikuweza kusakinisha kwa sababu faili ya cheti haikupatikana."
"Haikuweza kusakinisha kwa sababu faili ya cheti haikuweza kusomwa."
"Hakuna faili ya cheti iliyopatikana katika hifadhi ya USB."
"Hakuni faili ya cheti iliyopatikana kwenye kadi ya SD."
"Hifadhi ya USB haipatikani."
"Kadi ya SD haipo."
"Mmiliki wa kifaa hiki tu ndiye awezaye kusakinisha vyeti."